Nyakati za mwisho
Member
- Feb 18, 2018
- 29
- 8
nashkuru nduguTumia ndimu ya maji! Vinega... Inafukuza nzi.. Dawa za kuwaua znaweza kuwa na effect kwenye biashara yko.
Tumia ndimu ya maji! Vinega... Inafukuza nzi.. Dawa za kuwaua znaweza kuwa na effect kwenye biashara yko.
Naona umempa ushauri bila kujua biashara yake, je kama anauza utumbo?Tumia ndimu ya maji! Vinega... Inafukuza nzi.. Dawa za kuwaua znaweza kuwa na effect kwenye biashara yko.
Nashukur nduguEdward is right, Usafi, white vinegar na ndimu in spray bottle, pia baking soda powder with a little bit of liquid soap in spray bottle, it kill them easily.
Kama unauza chakula tumia ndimu na white vinegar, other areas you can use soap and baking soda powder.
Biashara ya chakula ndugu...Nina mgahawa wa kuuza chips mishkaki na vayakula vingineNaona umempa ushauri bila kujua biashara yake, je kama anauza utumbo?
Shukran ndugu nitajarbu hiyoMkuu nenda duka la dawa ya mifugo au wale jamaa wanaotangaza sumu ya paya,nzi nk ulizia Fly Bait - au waambie dawa ya nzi ipo kwenye pakti ya Kijani na ndani ina unga wa manjano inauzwa shs 1,000. Unanyunyiza kidogo tu nzi wanaifuata wenyewe na wanakufa hapo hapo.
Tumia hiyo na lete mrejesho iwasaidie na wengine.
Nikwel nikiweka utumbo mkuuwawekee utumbo.hawapendi harufu yake.
Sawa ni dawa nzuri sana sana. Naamini itamaliza tatizo la nzi hapo kwako.Shukran ndugu nitajarbu hiyo
Nashukur ndugu
ShukranKaribu Kaka.
NashukuruSawa ni dawa nzuri sana sana. Naamini itamaliza tatizo la nzi hapo kwako.
Oky hsanteDawa kiboko ni chumvi.jaribu kuyeyusha chumvi kwa wingi kisha nyunyizia juu ya meza na sehem wanazozipenda afu ulete mrejesho
Sasa hapo si ndo watajaa kwa wingi mkuu?wawekee utumbo.hawapendi harufu yake.