Wale mlio na uchu shauri yenu huyu mtu yupo kazini..km siyo tapeli basi ni wazee wa kitengo au vijana wa Bashite.
Jaman mwenzenu nimechoka kudakwa kila siku na msg za mchepuko! Sasa naamua kuwa makini na nimeona nitafute kishikwambi kwa ajili ya mchepuko ambayo wife hataijua Bajeti ni laki moja mwenye smartphone used iwe kwa hali nzuri aje dm aniuzie na kuokoa ndoa yangu
Bashite ameingiza vijana wengi humu...