Nahitaji dagaa (chakula cha mifugo)

makua

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
208
Reaction score
40
Habari wana jamvi!
Nahitaji dagaa kwaajili ya chakula cha mifugo,wale wa mwanza
Nahitaji tani 30-40

Nipe mchanganua wa bei yako hadi mzigo naupata dar es salaam utakua unaniuzia tsh ngapi kwa 1kilo?

Ahsante
 
Mkuu mimi ninao wa Ukanda huohuo kutoka Musoma lkn ntakuuzia kwa 2500/kg delivery ni two weeks baada ya kupokea order.
 
Habari wana jamvi!
Nahitaji dagaa kwaajili ya chakula cha mifugo,wale wa mwanza
Nahitaji tani 30-40

Nipe mchanganua wa bei yako hadi mzigo naupata dar es salaam utakua unaniuzia tsh ngapi kwa 1kilo?

Ahsante
Kama upo serious tufanye arrangements
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…