Mzungu wa madawa
Senior Member
- Aug 16, 2024
- 120
- 282
Habari za wakati huu ndugu
Nahitaji dada wa kazi, eneo la kazi ni Dar es Salaam, mshahara 60k.
Aliye tayari naomba tuwasiliane, au kama unafahamu mtu anaye hitaji kazi naomba pia unisaidie.