Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Ni Kwa ajili ya hiyo Sony tajwa Kaka?Mimi nina protector OG niliagiza mtu alikuja nayo toka Canada kama upo interested nikuuzie. Nadhani inafaa kwa Xperia
Ni universalNi Kwa ajili ya hiyo Sony tajwa Kaka?
Itakaa kioo hiki?Ni universal
Hii inatosha kioo cha 6'2.Itakaa kioo hiki?View attachment 2062922
Gharama zake mkuu, na jinsi ya Mimi kukipataHii inatosha kioo cha 6'2.
Xperia nadhani ni 6'1
Hapo ni wewe sasa.
Naiuza elfu 30. Kuipata sijui wewe maana nimeona unaishi ZanzibarGharama zake mkuu, na jinsi ya Mimi kukipata
Mwenzangu unapatikana wapi?Naiuza elfu 30. Kuipata sijui wewe maana nimeona unaishi Zanzibar
Dar es salaamMwenzangu unapatikana wapi?
Ok, rahisi kukipata, ni suala la kunisaidia kuituma hiyo bahasha hapo ferry..nipostie mawasiliano yako hapo pm kwangu. ShukraniDar es salaam