hopaje JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 1,726 Reaction score 1,218 Jul 13, 2014 #1 Nahitaji computer desk top kama 100 hivi kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi mashuleni wap naweza pata computer nzurii na kwa bei nzuriii Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
Nahitaji computer desk top kama 100 hivi kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi mashuleni wap naweza pata computer nzurii na kwa bei nzuriii Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
mnyongeni Senior Member Joined Dec 6, 2011 Posts 141 Reaction score 24 Jul 13, 2014 #2 Punguzo + 10% =dili la ulaji
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Jul 13, 2014 #3 hopaje said: Nahitaji comp desk top kama 100 hivi kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi mashuleni wap naweza pata comp nzurii na kwa bei nzuriii Sent from my iPhone 5 using JamiiForums Click to expand... Tafadhali naomba tuwasiliane +8615692403812 just whatsapp me manake najua kwa kupiga itakua gharama. Ahsante
hopaje said: Nahitaji comp desk top kama 100 hivi kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi mashuleni wap naweza pata comp nzurii na kwa bei nzuriii Sent from my iPhone 5 using JamiiForums Click to expand... Tafadhali naomba tuwasiliane +8615692403812 just whatsapp me manake najua kwa kupiga itakua gharama. Ahsante
M Mr. madevu JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 432 Reaction score 75 Jul 13, 2014 #4 Unapatikana wapi? Mm naweza kukupatia idadi unayotaka kwa bei nafuu kabisa. Kama utakua tayari tufanye biashara.
Unapatikana wapi? Mm naweza kukupatia idadi unayotaka kwa bei nafuu kabisa. Kama utakua tayari tufanye biashara.