nipe laki tatu na nusu nikutumie kwa bus hapo mwanza nina ndugu yangu hapo utakwenda muonane alafu tutapanga jinsi gani nikuitumie itakuwa na 2.8 processor, 60gb,512mb dvd rom, na flat monitor inch 17 nakupa kwa laki tatu na nusu, 0653013581 tuwasiliane