Niko Dar es salaam kwa muda wa
miezi mitatu nilikuwa nahitaji
apartment or chumba ambacho ni
cha selfcontained kiwe na kitanda
+ godoro, budget yangu ni Tsh
300,000/= kwa muda wote wa miezi
3. Napendelea kiwe kinapatikana
maeneo ya magomeni mapipa
kwelekea mjini ya kariakoo or
posta....
Mawasiliano!!
0713294699 or 0754542300 muda wote napatikana or nipm tutawasiliana faster!!