Habari zenu wana JF. Nahitaji nyumba simple ya kupanga iwe na chumba kimoja na sebule, self contained (yaani choo na bafu kwa ndani).
Isiwe mbali sana na city center na iwe mpya kidogo. Kuhusu sehemu yenyewe na kodi tutapatana.