Nahitaji Chumba na Sebule Buza Kanisani, Dsm

kimidadi

Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
30
Reaction score
27
Wakuu habari zenu poleni na mihangaiko ya hapa na pale ya kujikwamua na maisha haya ya kukaza kwa vyuma...

Niende katika kusudio langu, nahitaji chumba na sebule mitaa ya buza kanisani.

Bajeti yangu ni tshs 70,000 nyumba iwe na maji na umeme..

0684248723
 
Ngoja ni mcheki Jamaa yangu alikuwa nacho Nita kushtua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…