Nahitaji Chumba na Sebule Buza Kanisani, Dsm

Nahitaji Chumba na Sebule Buza Kanisani, Dsm

kimidadi

Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
30
Reaction score
27
Wakuu habari zenu poleni na mihangaiko ya hapa na pale ya kujikwamua na maisha haya ya kukaza kwa vyuma...

Niende katika kusudio langu, nahitaji chumba na sebule mitaa ya buza kanisani.

Bajeti yangu ni tshs 70,000 nyumba iwe na maji na umeme..

0684248723
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom