Nahitaji chumba cha kupanga

Nahitaji chumba cha kupanga

tunage

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
252
Reaction score
168
habari wadau,nahitaji mtu yeyote mwenye chumba chakupangisha kuanzia maeneo ya ubungo stand ya mkoa mpaka big brother kikiwa mabibo ni vizuri sana...bei kuanzia shilling 40 - 50 naomba ni PM

MADALALI HAPANA
 
Ukipata vingi,nijulishe na mimi nahitaji kimoja cha vijana wangu...


Asante
 
Back
Top Bottom