wakuu, mwenye chumba maeneo ya Chamanzi nahitaji, kiwe kikubwa kizuri, kiwe ndani ya fens, kuwe na umeme na maji, kisiwe mbali na barabarani, kodi 30-35 miezi 3+.
Wakuu, mwenye chumba maeneo ya Chamanzi nahitaji, kiwe kikubwa kizuri, kiwe ndani ya fens, kuwe na umeme na maji, kisiwe mbali na barabarani, kodi 30-35 miezi 3+.
kama ww sio mkazi wa dar tulia sasa, mm nakaa chamanzi nalipa kodi elfu 30 na chumba kipo ndani ya fensi, nataka kubadilisha mazingira, chamanzi vipo hadi vyumba vya 25 30, 35 cha 40 ni kama ikulu so kama hukai dar tulia huwezi elewa