Hello waungwana,
Ninasimamia maduka kadhaa ya vipuri vya magari (Used Auto spare parts) ambayo yako locations tofauti tofauti.Kwa hiyo nahitaji SOFTWARE itakayonirahisishia kuratibu shughuli muhimu za biashara kuanzia manunuzi, stoo, mauzo, invoice na kadhalika.
*Hii ni kwa walio serious tu*
Mwenye suluhisho tuwasiliane kwa barua pepe: rackeetz@gmail.com