Habari wanajamvi wenzangu!!
Ningependa Kujua wapi nitapata betri ya simu aina ya ZTE A452. Mimi nipo DSM.
Ikiwezekana pia mwenye kujua anipe na bei zake!! Mawasiliano yangu ni 0738599877
Shukrani sana....
Utazunguka mji mzima kutafuta betri ya hiyo simu na hutoipata.
Cha kufanya, tafuta betri ya Nokia tochi (hata Tekno) pimisha ambayo inaingiliana vichwa, then ipachike. Kata vipande vya box ujazie pembeni, simu itarudi bara barani.

Mkuu nimejaribu had kununua ya techno mpya nkapeka kwa wale wanaochonga betri Kariakoo imeshindikana,kwamba haiwaki na betri yake ni ya mkanda kama ilivyo IPhone