BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Feb 9, 2017 #1 Wakuu kwema? Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana. Kila baada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12. Nimebadilisha maji lakini bado. Naomba kujua bei ya dry cell. n40 na je naweza tumia n50?
Wakuu kwema? Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana. Kila baada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12. Nimebadilisha maji lakini bado. Naomba kujua bei ya dry cell. n40 na je naweza tumia n50?
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,481 Reaction score 8,583 Feb 9, 2017 #2 130,000 n40 nilinunua.. wastani kila mwaka gari lazima ubadilishe betri.... huwa kuna muda zinakufa
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Feb 9, 2017 Thread starter #3 Upo wapi mkuu
Kkimondoa JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 4,452 Reaction score 4,937 Feb 11, 2017 #4 Battery ya unga ni nzuri lakin zina matatizo sana ya kuchoka haraka kuliko za maji
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,942 Reaction score 802 Feb 11, 2017 #5 N50 inaweza ikakaa vzr tu tayari 150000/=
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,942 Reaction score 802 Feb 11, 2017 #6 Ukichukua dry hata kama ni n40 itadumu sana kama hujafunga mziki na vikorokoro vingine vya urembo
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,500 Oct 19, 2017 #7 MKATA KIU said: 130,000 n40 nilinunua.. wastani kila mwaka gari lazima ubadilishe betri.... huwa kuna muda zinakufa Click to expand... A good battery will last for at least 5 years.
MKATA KIU said: 130,000 n40 nilinunua.. wastani kila mwaka gari lazima ubadilishe betri.... huwa kuna muda zinakufa Click to expand... A good battery will last for at least 5 years.
kifinga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 5,249 Reaction score 9,577 Oct 19, 2017 #8 uko wapi mkuu maduka ya betri yako kila kona mbona
the supporter JF-Expert Member Joined Aug 18, 2013 Posts 834 Reaction score 1,103 Oct 19, 2017 #9 Tafuta Chloride Exide ya maji tumia alafu ulete majibu hapa. Hakikisha unaend kwa dealers wenyewe wa hizo battery.
Tafuta Chloride Exide ya maji tumia alafu ulete majibu hapa. Hakikisha unaend kwa dealers wenyewe wa hizo battery.
dripu JF-Expert Member Joined Jan 30, 2017 Posts 1,310 Reaction score 1,143 Oct 19, 2017 #10 Chukua dry cell mkuu hata mimi nimetoka kununua juzi tu nzr hatari
Edsonpaul New Member Joined Sep 8, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Sep 8, 2020 #11 dripu said: Chukua dry cell mkuu hata mimi nimetoka kununua juzi tu nzr hatari Click to expand... Inatumia majii eeh
dripu said: Chukua dry cell mkuu hata mimi nimetoka kununua juzi tu nzr hatari Click to expand... Inatumia majii eeh
mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,067 Reaction score 634 Sep 19, 2020 #12 Kwema nimeona baadhi ya watu kutumia betri za sola hivi wataalamu kuna matatizo kwenye hili?