Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,521 Reaction score 14,000 Mar 14, 2018 #1 Habari zenu wadau? Nahitaji kununua banana crips kwa wingi. Nahitaji mtu anayetengeneza,sio muuzaji,ili nipate bei nzuri. Zinahitajika Arusha town. Njoo PM kama unazo banana crips.
Habari zenu wadau? Nahitaji kununua banana crips kwa wingi. Nahitaji mtu anayetengeneza,sio muuzaji,ili nipate bei nzuri. Zinahitajika Arusha town. Njoo PM kama unazo banana crips.
MUSHEKY JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 2,812 Reaction score 2,767 Mar 14, 2018 #2 nipo lushoto tanga nawezakupatia unahtaj kwa kiwango gani?