Nahitaji Archtecture

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,234
Reaction score
1,501
Nahitaji archtecture wa kunichorea ramani ya nyumba. Kiwanja kipo DSM. Ni nyumba ya vyumba v3 na facilities nyingine kama kawaida. Tuonane inbox kwa maelezo zaidi.
 
Kwa ramani na landscape design 0787459850

Hii ni ya vyumba vitatu na nyinginezo zipo

Karibu!
 

Attachments

  • 1413365534279.jpg
    97.6 KB · Views: 156
Nyumba size gani?tupe spec tukupe bei

Nilisema nyumba ya vyumba v3 na facilities nyingine kama kawaida, yaani toilets, na jiko. Chumba kimoja kiwe master. Nadhani nimekidhi unachohitaji. Hata kama bado, wewe nieleweshe tu.
 
Nahitaji archtecture wa kunichorea ramani ya nyumba. Kiwanja kipo DSM. Ni nyumba ya vyumba v3 na facilities nyingine kama kawaida. Tuonane inbox kwa maelezo zaidi.
Mcheki mwana JF Jehry hapo juu.
Yupo Vizuri sana kwa hilo,maana Architect wengine ambao ni Officials wanabei kubwa utafikiria wanajenhga Ikulu,usishangae akaja site na Suti na Tai kwa joto la Dar ili akuchanganye,maana wanapiga Percent ya gharama ya Ujenzi.
But Jehry ni mwanafunzi,so utapata bei ubwete,mie ninayo moja of the same kutoka kwake in full ameni quote bei rahisi sana.Najivuta ili by mwakani tuweke mambo sawa.
 

Asante sana kaka. Jamaa kanivuta whatsapp na hivisasa tuna-chat huku akinishushia sampuli za kufa mtu. Jamaa kajipanga na pia ana interprenualship mind kitu ambacho binafsi nakipenda sana. Wasomi wetu wengi wana bidhaa (skills) lakini hawajui kuuza bidhaa zao. Kuna mmoja kaniandikia "lete specs tukupe bei". Sasa jamani, mchuuzi kama huyu bidhaa yake ikidoda nae anaenda kwa mganga.!!! Wengi wao wanaishia kuajiriwa na kutajirisha wengine huku wao wakifa masikini. Tanganyika safari bado tunayo kaka.
 
Sure,wengi ni wasanii yaani wao pesa kila kitu.
Lakini jamaa atakupa nyingi then wewe kuamua ili akuwekee kwenye desing nzuri kimchoro.na Bei zake zipo poa sana.
Na pia anasikiliza idea zako ili abadilishe kulingana na unavyotaka.
Mie nitakukaribisha humu

All the best
 
[emoji4] [emoji4] bila kusahau moka ya nguvu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…