Nahitaji alizeti

Nahitaji alizeti

hussler

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
78
Reaction score
33
Naomba mwenye uwezo wa ku supply gunia 100 ya alizeti arusha aliyenayo anijulishe bei yangu ni 60000tsh kwa gunia .
 
ongeza dau kuna mzigo uko stock gunia 300
nipo singida
hiyo hela ilikuwa ya kiangazi mwez (7-12) ila kipind hich ni 90000 mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom