KariakooYa aina za Dual inverter, na vizuri zaidi nikipata makabila ya L.G / Panasonic
Wapi naweza kupata na Bei zake zinatembeaje kwa wenye uelewa.
Ukihitaji kAbila la samsung na hisence karibu pm
Leta bei. BTU ngapi? 12000btu au 18000Ukihitaji kAbila la samsung na hisence karibu pm