MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 466
- 101
Naomba tuwasiliane PM kwa maelezo zaidi nadhani nitakusaidia ninayotumia kwa zaidi ya miaka 12 vyote ulivyovitaja inafanya na vingine vingi zaidi analysis,reporting,forecasting,payroll,ordering,financial charges,interaction with ms office,
nami mkuu nahtaj sana hii kitu! salama lakin?
Ninahitaji Accounting Drivers, kwa ajiri ya kunisaidia katika kuuza bidhaa, kuhifadhi kumbukumbu za bidhaa zilizoko stoo, na kuchanganua mtiririko wa mahesabu ya biashara kwa ujumla.
Napenda software hii iwe na vitu vitatu vifuatavyo:
Nadhani nimeleweka kwa kiasi chake. Basi naomba mtu mwenye ujuzi na uelewa wa jambo hili tuwasiliane kwa e-mail: miundombinu2010@yahoo.com
- FRONT OFFICE ( FOR SALES MANAGING)
- BACK OFFICE (FOR STOCK MANAGING)
- ACCOUNTS ( FOR ANALYSING entry)
Asanteni.
Ina manaa hiyo software unayotaka ndiyobrand name yake ni Accounting drivers.
Si zipo software kama Tally . Au u hiyo haifanyi hizo ? i . Au unaulizia pa kuinunua au kudowload trial . Au unauliza pa kupat ya kuchakachua ? teh teh teh
Nataka ya kununua sio ya kuchakachua, Tally siipendi kwani haikizi mahitaji yangu.