unaonekana wewe mkweli na mcha mungu ila jifunze kutumia mila za kikatoliki kumpata mchumba. kwanza lazima ufunge na kusali sana. Pili mtumie mtakatifu pepetua ndiye atakae kuongoza kupata mtu umtakaye. sali sana. Yesu alisema, ukimuomba mungu ngano hawezi kukupa jiwe. Hivyo amini amini nakuambia muombe mungu naye atakupa utakacho.