nahitaj video camera ndogo kwa ajili ya kuchukulia matukio mbali mbali.
Bajeti yangu ni laki ni kati ya lak 3 mpaka 4 kwa yoyte mwenye nayo asisite kuni pm
MEPATA... nitafute uje uchukue tumalize biashara, video kamera hii nimetumia mimi ndo mtu wa kwanza, nitafute zaidi tupatane tumalize biashara, nitumie namba hapa...darbusiness@yahoo.com
UMEPATA... nitafute uje uchukue tumalize biashara, video kamera hii nimetumia mimi ndo mtu wa kwanza, nitafute zaidi tupatane tumalize biashara, nitumie namba hapa...darbusiness@yahoo.com