K kishtobe86 Member Joined Jul 9, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Jul 19, 2015 #1 Habari za wakuu nahitaji kujua gharam za kioo cha simu ya note 3 pamoja na housing yake nahis fundi anataka kunipiga
Habari za wakuu nahitaji kujua gharam za kioo cha simu ya note 3 pamoja na housing yake nahis fundi anataka kunipiga
mimi mkali JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 1,794 Reaction score 1,572 Jul 19, 2015 #2 kama upo mikoa ya kaskazini agiza Nairobi siyo ghali sana hapa tz lazima upigwe, usishangae bei ya housing ikawa ni robo tatu ya bei ya note 3 mpya,nlikua natafuta kio cha note 2 huku ni 80 elfu hadi laki, nairobi nilipata kwa ksh 1500 tu.
kama upo mikoa ya kaskazini agiza Nairobi siyo ghali sana hapa tz lazima upigwe, usishangae bei ya housing ikawa ni robo tatu ya bei ya note 3 mpya,nlikua natafuta kio cha note 2 huku ni 80 elfu hadi laki, nairobi nilipata kwa ksh 1500 tu.