Nahisi simridhishi katika mapenzi

Wewe unaonekana hujiamini. Yeye kasema anaridhika na kibamia chako wewe humuamini sasa unataka aseme nini ndiyo uamini?
 
jipake pilipili kwenye hiyo nch3 afu mgonge uone kama hatoridhika
 
Mungu akupe maisha marefu axante kwa maneno yako ya busara na ushaur ulioenda chuo kikuu.nmekupenda bure.

"axante" ndio nini?! Au ndio ujanja wa watoto wa shule kuandika hivyo siku hizi?
 
Mkuu hayo mambo yanataka formula tuu..! Kabla ya mchezo mchoshe kwa romance alafu yeye mwenyewe atakaa mkao tuu..! Usipokuwa makini watu watafanya maujuzi
 
daaaa!!!! kazi kwelkwel kata ushone wa pundaaaaaaaa!!!!!!! alafu rudi apa utupe majibu
 
Jamani msichana wa kwangu amejaliwa maumbile makubwa(kike) sasa na mimi ndo vile nchi 3, yani naona kama simpatii japo anadai anaridhika lakini nina wasiwasi.

Wadau niambieni cha kufanya kabla mambo hayajaharibika
ukijifanya mdadisi wakat kakupa ukweli ndo utaharibu zaidi huo ndo ushauri ninaokupa...!!!!
 
Kumridhisha mwanamke si lazima uwe na umbile la uume sawa na urefu au upana wa umbile lake, ndo maana yeye anakwambia anaridhika. Tumia vizuri ulichonacho, usitumie mda mwingi kufikiria ulivyovikosa.
 
Kama anasema anaridhika unatafuta nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…