Nahisi nabambikiziwa

KIUNGOMCHEZESHAJI

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
120
Reaction score
255
Jamani naleta hili tatizo nipeni mawazo yenu,
Mwezi Novemba mwaka jana nilikutana na binti mmoja. Alitokea kunipenda ghafla lakini mimi sikuwa na mawazo hata. Nilivyoona ananisumbua na sms zisizokoma nikaamua nile mzigo ila tulitumia kinga mwanzo mpaka mwisho. Basi tukaachana hatukukutana tena mpaka leo. Mwezi huu wa tatu mwanzoni akanipigia na kuniambia ana mimba yangu. Nikashangaa, nilischofanya ni kumhoji akagoma akasema kwa vyovyote itakuwa yangu. Nikamwambia mbona hukuniambia tangu Novemba mpaka leo ni miezi mitano, akasema alikuwa anatafuta nafasi aniambie akawa anakosa chance. Nikajua ananizuga au anataka kunibambika. Nikamwambia ok, kama ni hivyo ilee hiyo mimba utakapojifungua niko tayari tukapime DNA uwe tayari kupokea majibu, kama siyo yangu ujue ntakachokufanyia nitajua mwenyewe. Akasema sawa. Wiki hii amenipigia simu kuwa mimba imeharibika anataka nimpe hela kwa sababu anaumwa na anataka akasafishe. Pia anataka hela ya matumizi mara ananiambia mambo ya huko kwao. Agenda sasa imebadilika kutaka hela.

Sasa kinachonishangaza ananiambia mambo short cut, hakuna maelezo. Hivi si kashapoteza ushahidi, na mimi sitaki anavyonisumbua, nifanyeje?
 
kama unahela za ziad msaidie tu... hamna cha mimba kuwepo wala kuharibika mkuu ....
 
Wajinga ndio waliwao inaelekea kaka wewe na spana sana mwanaume sio suruali kaka hata za buku zipo wadada wengi wanaangalia hela na utu.
 
Anataka hela huyo msaidie uondokane na usumbufu
 
Katoa huyo

Iliyobaki anataka kukufanya kitega uchumi
 
Mpeleke hospitali akasafishwe afu uzini nae bila kinga. Akipata mimba nyingine tupime dna ndo tutajua alikuwa anakudanganya ama la? Kuhusu shida za kwao, si wajua mla vya wenzie na vyake vinahusika? Kuwa mvumilivu baba
 
Mpeleke hospitali akasafishwe afu uzini nae bila kinga. Akipata mimba nyingine tupime dna ndo tutajua alikuwa anakudanganya ama la? Kuhusu shida za kwao, si wajua mla vya wenzie na vyake vinahusika? Kuwa mvumilivu baba
Guuuuddddd....
 
Njaa kali mjini watoto wa kike wanapata challenge nyingi mno ila msaidie tuu kama unauwezo halafu mpe za uso aache mazoea na wewe.


epuka mchepuko baki njia kuu.
 
Tumia Oblangata yako kwa kufikiri sio kuvukia barabara tu.
 
Hakuna mimba wala nini hapo ameshindwa tu kuwa na njia mbadala ya kukuomba hela huyo.
 
ungemwambia aku-tag picha za mimba yake FB ugonge like kabisa!

madem wa siku hizi bana, wanatafuta njia milioni za kupinga mizinga!!!

mimba inakuja... mimba inakata...!
 
mmmh huyo dada hayuko advanced kabisa mim cjajua technique anazotumia mbona hajashirikisha ubongo
 
amekuletea invoice ya huduma uliyofanya miezi mitano...sasa wewe kuwa muungwana kai clear ..uje tuio file humu:loco::loco:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…