Yours_sincerely
Member
- Jul 12, 2023
- 79
- 299
Ndio[emoji4]safi sana, Kataa Ndoa
Am really serious...Usikute upo serious. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Love dear... kweli nampenda.Sasa unasubiri kuambiwa kuwa umechokwa.
As days go by, mnazoeana na kuonana wa kawaida tu. Kinachobaki ni kulea watoto na kusubiri wajukuu.Angalia makosa yako yaliyopelekea hivyo.
Mtu hachoki siku moja
Mkuu, omba kusafiri kidogo uende nyumbani upumzike walau weeks kadhaa kisha urudi au kama mumeo anaye kaka yake mkubwa mshirikishe huyo shemeji yako changamoto unazozipitia.Mume wangu aliponichoka...
-+Nkimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
-+nkimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
-+kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
- +nkimuomba anisaidie kitu..mfano naitaj nibadilishe uelekeo wa kitanda..anasema kila kitu usaidiwe tuu.
-+tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
-+kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda...ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
-+Sasa nimekonda kweeli...stress na shida..ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa......
...namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
... najua kabisa amenichoka..hanipendi Tena..[emoji4][emoji4][emoji4]
Kiukweli hamna wa kunisaidia..kwanza kwao anaenda kwa bahat mbaya labda Christmas.. otherwise haend kabisa...lakin Mimi pia si muwaz Sana..siwez kumshirikisha mtuMkuu, omba kusafiri kidogo uende nyumbani upumzike walau kidogo kisha urudi au kama mumeo anaye kaka yake mkubwa mshirikishe huyo shemeji yako changamoto unazozipitia.
Kadri unavyokaa na kitu moyoni ndivyo kinavyokutafuna taratibu. Kama wewe ni mtu wa kanisani, basi tafuta hata mama mtu mzima mwenye staha umsimulie at least kifua kipumue na anaweza kukupa maneno mawili matati yatakayokufaa. Usijitafutie ugonjwa wa moyo. You're too young to die of heart attack.Kiukweli hamna wa kunisaidia..kwanza kwao anaenda kwa bahat mbaya labda Christmas.. otherwise haend kabisa...lakin Mimi pia si muwaz Sana..siwez kumshirikisha mtu
Mi sio mtalaamu ila nahisi:Am really serious...
[emoji1787] ndoa tamu we mad max, oa uone[emoji39] tatizo Ni iz changamoto tuu.Mi sio mtalaamu ila nahisi:
1. alikupendea muonekano,
2. mlidate muda mfupi,
3. mmeoana umri bado mdogo,
4. hamjapata mtoto (au watoto wa kuwaweka busy),
5. we ni mama wa nyumbani.
temporary solutions:
1. tafuta kazi
2. weekend toka out su jumapili toka umependeza ata uende kanisani
3. jipende usikae home kama upo hostel
4. usimkumbushe majukumu yake atajua mwenyewe
oya mi sio mtaalamu ila Pole.
Mi team Kataa Ndoa
[emoji23]Mi sio mtalaamu ila nahisi:
1. alikupendea muonekano,
2. mlidate muda mfupi,
3. mmeoana umri bado mdogo,
4. hamjapata mtoto (au watoto wa kuwaweka busy),
5. we ni mama wa nyumbani.
temporary solutions:
1. tafuta kazi
2. weekend toka out su jumapili toka umependeza ata uende kanisani
3. jipende usikae home kama upo hostel
4. usimkumbushe majukumu yake atajua mwenyewe
oya mi sio mtaalamu ila Pole.
Mi team Kataa Ndoa
Usipooa utaolewa tu!safi sana, Kataa Ndoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usipooa utaolewa tu!
Vaseline Bado ni Bei kubwa, paka ya Nazi[emoji1787] ndoa tamu we mad max, oa uone[emoji39] tatizo Ni iz changamoto tuu.
Sisi Ni wakubwa..tuna watoto wawili...Mimi alinikuta na kilo 60 actually mwembamba..Sasa Nina watoto wawili na kilo zilezile...tofaut Ni kua stress zimenichosha[emoji1787]
Kikubwa Ni alinikuta na pesa..akasema anapenda nikae home hashindwi kunihudumia[emoji4][emoji4][emoji4] si nikakubaliiii kuacha kazi. saiv Sina ata lotion [emoji1787][emoji1787] najipaka Vaseline ya watoto
Ndio Elli,ntapaka[emoji17]Vaseline Bado ni Bei kubwa, paka ya Nazi