Wengi tu hawependwi sema ni vile wana vijipesa vya kula walau.
Na Kama mmejenga kijumba au vijumba basi mwanamke atakuvumilia huku akikupigia hesabu za mbali,
Fulia, uwe huna assets hata ya ngama uone halafu hata hela ya kula isiwepo na Yeye awe hana kipato cha kueleweka uone kama atakuvumilia na kukupenda kama Mwanzo ulivyokuwa nacho?!