kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,501
- 4,282
Sawa mkuuHakupendi huyo muache.
ππππWewe weka picha ya kwako na watoto wako uandike my courage au my future hahahaππππ
Usifanye mambo kwa kuiga mkuu. Fanya kwa namna yako. Na ukijiskia kumpigia au kumtafuta, mtafute tu bila kujali kama yeye amekuchek au la.Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.
Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine.wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.
Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.
Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Sawa mkuu,kesho najinyonga.
Jinyonge mkuu.
Mwanaume hasumbukii kupendwa bali kuheshimiwa.
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.
Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine.wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.
Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.
Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Ok mkuu,nimekupata.Usifanye mambo kwa kupiga mkuu. Fanya kwa namna yako. Na ukijiskia kumpigia au kumtafuta, mtafute tu bila kujali kama yeye amekuchek au la.
Hawa waache wateseke tu tatizo watu ni wabishi tulishawaambia mapema ndoa ni stress tudronedrake Mzee wa kupambania mje huku, kimeumana
Nina mashaka na mashuka unayolalia mkuu ππHuyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.
Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.
Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.
Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Ndoa raha aisee. Jamaa tu ndio mambo yake hayajaenda sawa πHawa waache wateseke tu tatizo watu ni wabishi tulishawaambia mapema ndoa ni stress tu