Heri lee JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 981 Reaction score 538 May 30, 2014 #1 Mimi heri lee nahisi nina tatizo kwani kila nikiona demu yeyote hapa chuoni natamani nimtongoze nina miaka 20 na najitahidi kuepuka lakini imeshindikana na nisipofanya hivyo nakuwa na mawazo kutwa nzima sijui nini tatizo.
Mimi heri lee nahisi nina tatizo kwani kila nikiona demu yeyote hapa chuoni natamani nimtongoze nina miaka 20 na najitahidi kuepuka lakini imeshindikana na nisipofanya hivyo nakuwa na mawazo kutwa nzima sijui nini tatizo.
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 May 30, 2014 #2 ...unahisi..? bado hujagundua ?uko form gani...?
J Jese Pinkman JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 661 Reaction score 338 May 30, 2014 #3 Tengenisha moyo na kichwa yani na maana kwamba,usipende kufuata feelings kuliko akili yako,
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,993 Reaction score 102,833 May 30, 2014 #4 Ukikua utaacha
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,134 Reaction score 831,809 May 30, 2014 #5 sexual oriented mind
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,781 May 30, 2014 #6 Sio unahisi unatatizo bali una kichaa...loading error...
B Barasu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 1,146 Reaction score 335 May 30, 2014 #7 Heri lee Miaka 20 bado balahe inawezakuwa inasumbua haswa kama miaka michache iliyopita hukupata hata mmoja wa kutoka naye. Pole sana. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Heri lee Miaka 20 bado balahe inawezakuwa inasumbua haswa kama miaka michache iliyopita hukupata hata mmoja wa kutoka naye. Pole sana.
badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,117 May 30, 2014 #8 Una jini mahaba kaombewe
J Janosi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 220 Reaction score 39 May 30, 2014 #9 Barasu said: Heri lee Miaka 20 bado balahe inawezakuwa inasumbua haswa kama miaka michache iliyopita hukupata hata mmoja wa kutoka naye. Pole sana. Click to expand... ushaur mzur nmeupenda bg up! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Barasu said: Heri lee Miaka 20 bado balahe inawezakuwa inasumbua haswa kama miaka michache iliyopita hukupata hata mmoja wa kutoka naye. Pole sana. Click to expand... ushaur mzur nmeupenda bg up!
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 May 30, 2014 #10 Freddom comes with responsibilities young bro...take care!!!
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,373 May 30, 2014 #11 Miaka 20...bado mdg sana balehe inakusumbua
pure crazy Senior Member Joined Nov 28, 2013 Posts 190 Reaction score 37 May 30, 2014 #12 pole sana kijana
traceman Senior Member Joined Dec 28, 2013 Posts 148 Reaction score 20 May 30, 2014 #13 Chezea video game 😆 Sent from Samsung Note III using Tapatalk
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 May 30, 2014 #14 still u ar child.......pole sana
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,763 May 30, 2014 #15 utakua Zoom college wewe... hujui hata kuandika
Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,138 May 30, 2014 #16 Hapo chuoni hamna mshauri wa wanafunzi?
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,143 May 30, 2014 #17 serio said: utakua Zoom college wewe... hujui hata kuandika Click to expand... Ha ha ha ha
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,391 Reaction score 10,466 Jun 5, 2016 #18 jembe afrika said: Sio unahisi unatatizo bali una kichaa...loading error... Click to expand... network detected.....
jembe afrika said: Sio unahisi unatatizo bali una kichaa...loading error... Click to expand... network detected.....
Bra-joe JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,861 Reaction score 1,485 Jun 5, 2016 #19 Badirisha tatizo lako, liwe kila ukipewa mtihani utamani kuufaulu. Tatizo hili litakufikisha mbali.
N Ntandaba JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 922 Reaction score 1,485 Jun 5, 2016 #20 Unasoma chuo cha kina jesika?