Paulo Sergio De Souz alisema hata mama yake ni "demu", duuuh nalichukia hilo neno!!
Kumzalisha moyo ulikuwa laini,kumuoa moyo umekuwa mgumu,punguza uvulana kuwa mwanaume.maneno yako yamekaa kivulana vulana tuuuu!Guyz kuna msichana mmoja ambae bahati nzuri tumepata mtoto pamoja.
Japo linapokuja swala la kumwoa moyo wangu ni mgumu sana na yeye amekuwa kila siku akinisihi nmuoe.
Nina wakati mgumu sababu kwanza dini zetu ni tofauti na kwa muda nilokuwa nae nahisi si msichana ninaehitahi kuishi nae.
Nishaurini watu wangu wa nguvu nifanyaje!
Paulo Sergio De Souz alisema hata mama yake ni "demu", duuuh nalichukia hilo neno!!
Kwann uislam ndo unaona ni dini sahihi?
yan qumaniner wewe ndo mana uwa mnashughulikiwa nyie viumbe,yan leo ndo wamwona hafai?shenzy taipu na umuoe uyo dada laa ulaanike kabisa nachukia mno sana izi tabia za kingese ngese