Guyz kuna dem mmoja ambae bahati nzuri tumepata mtt pa1 japo linapokuja swala la kumwoa moyo wangu ni mgumu sana na yeye amikuwa kila siku akinisihi nmwoe.Nna wakati mungu sababu kwanza dini zetu ni tofauti na kwa muda nilokuwa nae nahisi si msichana nnaehitahi kuishi nae. Nishaurini watu wangu wa nguvu nifanyaje!
Kuna vitu vingine vinatia hasira! Ndiyo maana hili jukwaa huwa sipendi kuingia humu naweza pigwa life ban! We ulisha mzalisha tayari halafu unasema hutaki kumuoa unataka nani aje amuoe? Kuna wanaume wengine ni wa kuwabinya kende njoo huku!
I know you have so many things you have experienced. Itakuwa ni kujifunza zaid kwa wengine if you share pliz Hornet
Mu-sir kuna dada mmoja kaja kwangu juzi analia miaka kadhaa nyuma alikua kwenye mahusiano,
akampenda sana huyo jamaa wakakubaliana kuzaa na akazaa nae mtoto mmoja,bibie anasema akasubiria mipango iendelee mpaka akachoka akiuliza anajibiwa bado najifikiria,
bibie anasema akaweka mpaka ratiba ya gym yaani alikua tayari kufanya chochote kumridhisha mwanaume,
ila mwisho wa siku jamaa akamwambia bibie ajiongeze kwa kuwa yeye siyo chaguo sahihi.
mdada anasema mpaka leo anahisi anaota,
hajaweza mpaka leo kusimama na kujenga mahusiano mapya.
ndo maana nilivyomsoma huyu jamaa ikabidi nifikirie na upande wa huyo msichana anayemuita demu.
Naamini umebadilika baada ya kuhisi umezaa naye na unaonekana tokea mapema hukutegemea kuwa na malengo naye. unajuwa ''Sometimes you can do something that don't like for a change'' ni sehemu katika maisha.
Ni vyema ukabadilisha au akabadilisha dini mukawa dini 1, naamini mmoja atakuwa muislamu hiyo ndio dini sahihi. then mfanye toba, muoane mlee kizazi chenu otherwise utaenda kujifurahisha kwa mwanamke unaehisi ndio maisha yako lakini adhabu iliyo kali na iumizayo itakuwa inakusubiri
Paulo Sergio De Souz alisema hata mama yake ni "demu", duuuh nalichukia hilo neno!!Watu wako wa nguvu humu umewatoa wapi????
Mzazi mwenzio utamwitaje demu???
Anyway.... hebu nijibu kwanza
Mpaka unamtongoza....
Mnagegedana
Mnamimbana
Hukujua kuwa si wa dini yako wala hamuendani????
Kuna vitu vingine vinatia hasira! Ndiyo maana hili jukwaa huwa sipendi kuingia humu naweza pigwa life ban! We ulisha mzalisha tayari halafu unasema hutaki kumuoa unataka nani aje amuoe? Kuna wanaume wengine ni wa kuwabinya kende njoo huku!