Marriage is a voluntary union between a man and a woman with the exclusion of the third party,..
Kama hutataka kumuoa basi usimuoe wala asikulazimishe mtu..
Lakini hivi jiulize kama ushaanza kumuona mama ni mzigo je huyo mtoto utampenda kweli???
Au umedanganywa na watu wa kilingeni kwamba usioe halafu lea mtoto????
Well FYI:HUWEZI,
Wewe inaonyesha ni mdogo na umevamia majukumu makubwa ambayo hukujiandaa kuyabeba,....
Sasa angalia unavyomtesa mtoto,.atakuwa anaishi kama mkimbizi...
TULIZA AKILI NA OMBA USHAURI WA WAZAZI NA VIONGOZI WA DINI,..UTAPATA TU JAWABU