General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,200
Habarini za wakati huu washikadau wenzangu wa kilinge chetu hiki kilichotukuka....... nisianze na mambo mengi sana acha niende moja kwa moja kwny mada, siku ya mei mosi yule mheshimiwa niliyegegeda mke wake aliniita tukaongea mambo meeeengi sana lakini ghafla akawa serious na kuanza kuniambia haya:- mdogo wangu najua kwamba we ni mtu makini sana unajua kutumia muda vzr kupanga mambo yako na yakanyooka...... na ndo maana kipindi cha kampeni nilikuwa nakuacha usimamie operesheni nyingi za mwisho tena zile za hatari dhidi ya wapinzani wetu na zilikuwa zinakamilika kwa uhakika..... yote hiyo ilikuwa ni mkakati wa kusaka ushindi na ni kweli tuliupata wa kishindo.
Nikavutika na maongezi hayo maana yalinipa msisimko mkubwa na kunikumbusha nilivokuwa kule porini nikisimamia na kutekeleza OP kali na za hatari wakati wa mikakati ya kampeni.....akaendelea..... sasa kwa umakini wako huo naomba nikupe kazi nyingine ambayo ni ngumu zaidi lakini najua kabisa lazima utaimudu na majibu yake yatakuwa na uhakika..... akanisimulia jinsi asivokuwa na imani tena kwa mkewe na anahisi kwamba lazima keshapata mwanaume pembeni anaemzuzua, akanisimulia hadi jinsi mke wake alivokutwa anatokea hotel asbh moja huku akiwa kashikana mkono na mwanaume..... kufikia hapo moyo wangu ukafanya Paaaah na jasho la kwapa kunitoka...... maana ishu hiyo niliwahi kuwasimulia na muhusika nilikuwa ni mimi na tangu wakati huo nimeshamgegeda tena yule mama zaidi ya mara 2, nikajikaza kuendelea kusikiliza...... baada ya maongezi marefu na kunipamba kwiiiiiiiingi mwisho akatoa ombi kwamba nianze kumfanyia uchunguzi wa siri sana juu ya nyendo za mke wake na akaniahidi kunipa fungu zito la pesa baada ya kumletea ripoti ya uchunguzi wangu.... akaweka kituo hapo na kunitazama kuashiria kuwa kamaliza maelezo yake na anataka kusikia jibu kutoka kwangu, nilimjibu kwamba anipe muda nipime uzito wa kazi na pia niitafakari kwa kina.
Hii inanikumbusha miaka mingi sana iliyopita kuna mfanyabiashara mmoja aliwahi kunipa tenda hiyo ya kumchunguzia mke wake lakini kwa bahati mbaya nikadondoka nae dhambini yule dada, na kibaya zaidi ni kwamba yule mfanyabiashara alinipa tenda ya kumchunguza mkewe halafu na yeye akaweka watu wa kunichunguza nyendo zangu na hatimae akatufumania hotelini...... bila kutegemea eti akanisamehe halafu alikuwa na manati ya kizungu..... niliishi kwa wasiwasi sana kipindi hicho, nilisikia kwamba alimuacha mke wake palepale hotelini, nikaja kupata taarifa kwamba yule bwana alipata ajali mbaya ya gari akafariki, lakini mi naamini kwamba ajali ile ilichangiwa na msongo mzito wa mawazo megawatts 22000 ndo chanzo cha ajali na kupelekea umauti wake...... hapa nahisi kama vile kesi ya miaka hiyo inataka kujirudia lakini nadhani safari hii nisipokuwa makini inaweza kula kwangu, nikatekwa halafu nikapotezwa kabisa au nikatekwa nikateswa sana halafu nikaachiwa watu wakaanza kuhisi hata nimeliwa kiboga.
Wakuu mliojawa ushauri mzito na ulioshiba mna maoni gani juu ya hili, nikubali kupokea fungu la kuanzia kazi na kukubali kufanya uchunguzi wakati kumbe mi ndo nagegeda mali zake au nifanyeje nina imani kubwa na ushauri wenu mtakaonipa.