Tafuta mwanamke mzurii zaid yake afu ustasahauJamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane
Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi
Lakini toka tuachane mpaka sasa mwenzio hali imekuwa tofauti kwangu kadiri siku zinavyo zidi kusogea na mimi ndivyo ninavyo zidi kumpenda kabisa na kumkumbuka saana
Hivi kuna dawa ya kumsau ex au
HahaaaNipe namba yake
Pole sana mkuu songa mbele nyuma mwiko!!Jamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane
Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi
Lakini toka tuachane mpaka sasa mwenzio hali imekuwa tofauti kwangu kadiri siku zinavyo zidi kusogea na mimi ndivyo ninavyo zidi kumpenda kabisa na kumkumbuka saana
Hivi kuna dawa ya kumsau ex au
Tunasikitika kumpoteza askari wetu mashuhuri kwani amestaafu ghafla baada ya kuanguka ndani ya penzi na kushindwa kusimama kabisa....atakumbukwa kwa ujasiri wake. Taarifa ziwafikie.Jamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane
Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi
Lakini toka tuachane mpaka sasa mwenzio hali imekuwa tofauti kwangu kadiri siku zinavyo zidi kusogea na mimi ndivyo ninavyo zidi kumpenda kabisa na kumkumbuka saana
Hivi kuna dawa ya kumsau ex au
Kwishaaa habariJamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane