Nahisi ananipenda na mimi nampenda sana ila bado hajanitamkia,nimtamkie mimi?

Asiende nyumbani kwake
mfano anaweza pika chapati na kumletea ofisini au cake na kadhalika...

Mmmh ukweli mambo ya kupikishana wakati sijui tuko status gani ni magumu hata kama ni BF, mimi kama mimi kukiwa kuna event fulani then I will use it as excuse ya kuleta cake. Lakini hivi hivi mchana kweupe unaanzaje...
 
hata mimi kuna dem miezi mi3 sasa tumeshibana kweli yan ila sijamwambia chochote bado naendelea kusoma mchezo, kama una haraka we maliza kazi uone jamaa anasemaje isijekua unasubiri treni ipite ubungo mataa
 
Mmmh ukweli mambo ya kupikishana wakati sijui tuko status gani ni magumu hata kama ni BF, mimi kama mimi kukiwa kuna event fulani then I will use it as excuse ya kuleta cake. Lakini hivi hivi mchana kweupe unaanzaje...

labda uko too modern..but tangu zamani mwanamke akikupikia kitu ujue anakupa message
ni easiest way ya mwanamke kumwambia mwanaume anampenda......

but sio lazima upike wewe...unaweza danganya umepika wewe kumbe umenunua....ili mradi ujumbe umfikie kuwa
'umempikia mahanjumati'....
 
Weekend moja ukiamka asubuhi text him mwambie "I miss you". Akishindwa kumalizia hadi hapo, jiulize... maana mtu mzima asipoona indicators kuna shaka
 
assalam aleykum,

Isije kuwa unachanganya urafiki na mapenzi. Kuhisi tu haitoshi dada yangu, ndoa ni serious issue.Nenda naye taratibu.
 
Ni kweli cwez kwnd kwake kumpikia wala kufua mwenzenu,labda nitumie hz za kumpelekea vitu km bites au nitengeneze natural juice etc.
Je nikiwa namtext msgs za Missing u n.k je napo atanielewa vby?
 
Domo zege mzigo....
Usilianze, ushampa ishara lazima aonyeshe uanaume wake, tatizo ukimtamkia anaweza kukutumilia. You can't really tell whats going on in someones mind. Mimi naona punguza maezoea uone kama atajibu mapigo, you have to take it out of friendzone. Kama akinyamaza...sidhani kama yupo tayari.

you nailed it,,,
dada fata huu ushauri,,
ukijipeleka , atakuchuna hadi mifupa.
 
Asalam aleykum wana Jf.

Mimi ni mwanamke wa 29yrs old.Kuna kijana wa miaka33 nina mazoea nae kwa 6months. Sasa ananionyesha dalili zote za kunipenda na kunihitaji ila hajawahi nitamkia mpaka sasa.

Ni mtulivu na ndiye atayenifaa kwa maisha.Hisia zangu ni kwamba atakuwa ananiogopa na kujifeel inferior kwangu kwani nimemzidi kielimu na uchumi kadhalika.

Nimtokee mimi manake nimemuwekea mazingira ya kujishusha ili kumtoa uwoga na pia kujiweka huru ili aniambie lakini hasemi.

Please help me.

Nyie si mnataka haki sawa? fanyanye haki sawa hadi kwe kutongozana
 
Dada mtamkie. Mkaribishe kwako. Vaa nguo ya hishima, mkaribishe kinywaji baridiii. Sio cha kilevi asijesema alilewa, mwambie kabisa una jambo wataka mwuliza au kumweleza, akija, wala usiogope.
Kama anakupenda, hatajali nnani kaanza kusema bali atakuhakikishia kuwa naye anakupenda. Hatathubutu kukuomba akuvue pichu siku hiyo, wala usianze kujishaua zaidi. Atakuomba mipango ya kukuchukua uwe wake. Kuanzia hapo mwachie aendelee
 
Asalam aleykum wana Jf.

Mimi ni mwanamke wa 29yrs old.Kuna kijana wa miaka33 nina mazoea nae kwa 6months. Sasa ananionyesha dalili zote za kunipenda na kunihitaji ila hajawahi nitamkia mpaka sasa.

Ni mtulivu na ndiye atayenifaa kwa maisha.Hisia zangu ni kwamba atakuwa ananiogopa na kujifeel inferior kwangu kwani nimemzidi kielimu na uchumi kadhalika.

Nimtokee mimi manake nimemuwekea mazingira ya kujishusha ili kumtoa uwoga na pia kujiweka huru ili aniambie lakini hasemi.

Please help me.

Walaa ucjisbue ckutongoz ng'oooo
 
mtoe out sehemu tulivu halafu jaribu kuwa charming sana kwake.natumai mwisho wa siku atafunguka.ikishindikana mpasulie tu kwani kuna ubaya gani?hongera kwa kutuweka wazi.washauri na wenzio wawe na ujasiri km wako
 
Nikushauri dada bora umwambie tu sababu si wanaume wengine tunaogopa kuanza pengine kuilinda heshima, au kuogopa kutolewa nje na maelewano yanakaishia hapo na pengine ulivyo mzidi kwa baadh ya vitu, binafsi ingekua ni mm ningeshindwa kwan hua nikimuona mdada ana kitu kuliko mm namuogopa kwa kweli, najiuliza mengi sana na ninaamua kuacha kumpenda, imenitokea kwa wengi mpaka na leo ninawaogopa kina dada kwa mfumo huo, pengine na huyo wako ni hivyo,ila ukimuanza hutamini kama ni yeye, mf gari isiopiga stata ikisukumwa pindi inapowaka hutaidhania kama ni yenyewe,pia maji ukiyapasulia njia hutowezakuyazuia, napia ss ni wadhifu kwenu ni uwoga wako tu. Ila pamoja na hayo ukumbuke ya kua we ni mwanamke hivyo nafasi yako ya kike usiisahau,kila la heri na ukafanikiwe.
 
Nikushauri dada bora umwambie tu sababu si wanaume wengine looptunaogopa kuanza pengine kuilinda heshima, au kuogopa kutolewa nje na maelewano yanakaishia hapo na pengine ulivyo mzidi kwa baadh ya vitu, binafsi ingekua ni mm ningeshindwa kwan hua nikimuona mdada ana kitu kuliko mm namuogopa kwa kweli, najiuliza mengi sana na ninaamua kuacha kumpenda, imenitokea kwa wengi mpaka na leo ninawaogopa kina dada kwa mfumo huo, pengine na huyo wako ni hivyo,ila ukimuanza hutamini kama ni yeye, mf gari isiopiga stata ikisukumwa pindi inapowaka hutaidhania kama ni yenyewe,pia maji ukiyapasulia njia hutowezakuyazuia, napia ss ni wadhifu kwenu ni uwoga wako tu. Ila pamoja na hayo ukumbuke ya kua we ni mwanamke hivyo nafasi yako ya kike usiisahau,kila la heri na ukafanikiwe.
Asanteeee
 
Back
Top Bottom