Nahisi ananipenda na mimi nampenda sana ila bado hajanitamkia,nimtamkie mimi?

ELVISLILY

Member
Jun 15, 2013
55
24
Asalam aleykum wana Jf.

Mimi ni mwanamke wa 29yrs old.Kuna kijana wa miaka33 nina mazoea nae kwa 6months. Sasa ananionyesha dalili zote za kunipenda na kunihitaji ila hajawahi nitamkia mpaka sasa.

Ni mtulivu na ndiye atayenifaa kwa maisha.Hisia zangu ni kwamba atakuwa ananiogopa na kujifeel inferior kwangu kwani nimemzidi kielimu na uchumi kadhalika.

Nimtokee mimi manake nimemuwekea mazingira ya kujishusha ili kumtoa uwoga na pia kujiweka huru ili aniambie lakini hasemi.

Please help me.
 
Domo zege mzigo....
Usilianze, ushampa ishara lazima aonyeshe uanaume wake, tatizo ukimtamkia anaweza kukutumilia. You can't really tell whats going on in someones mind. Mimi naona punguza maezoea uone kama atajibu mapigo, you have to take it out of friendzone. Kama akinyamaza...sidhani kama yupo tayari.
 
Kama umependa mwambie sio lazima akuanze wew..ila add now 29 years unatafuta?pole lkn
 
Umeona wanaume wa Dar? Wadada tulishawaonya kua Dar hakuna mwanaume ni waoga zaidi ya Mbweha, bila shaka anatokea mitaa ile panya Road walipita! Anyway mwambia mana ndo hvo walvyo waoga sana!
 
Domo zege mzigo....
Usilianze, ushampa ishara lazima aonyeshe uanaume wake, tatizo ukimtamkia anaweza kukutumilia. You can't really tell whats going on in someones mind. Mimi naona punguza maezoea uone kama atajibu mapigo, you have to take it out of friendzone. Kama akinyamaza...sidhani kama yupo tayari.
Madame X shukrani!ngoja nijaribu ku-mute nione
 
Huu ushauri ni mmbaya sana, dada yangu Goldnen chance never comes twice, usichezee shling chooni! Umpe distance? Akisepa je? Au utakuja kumuoa wewe? Ama hujaona umri wake? My take mkamata jamaa mpaka atamke
Domo zege mzigo....
Usilianze, ushampa ishara lazima aonyeshe uanaume wake, tatizo ukimtamkia anaweza kukutumilia. You can't really tell whats going on in someones mind. Mimi naona punguza maezoea uone kama atajibu mapigo, you have to take it out of friendzone. Kama akinyamaza...sidhani kama yupo tayari.
 
Asalam aleykum wana-Jf!Mimi ni mwanamke wa 29yrs old.Kuna kijana wa 33 nina mazoea nae kwa 6months now miaka.Ananionyesha dalili zote za kunipenda na kunihitaji ila hajawah nitamkia til now.Ni mtulivu na namuona ndio atakayenifaa 4 life.Hisia zangu ni kwmb atakuwa ananiogopa na kujifeel inferior kwangu kwn nimemzidi kielimu na uchumi kadhalika.Nimtokee mimi manake nimemuwekea mazingira ya kujishusha ili kumtoa uwoga na pia kujiweka huru ili aniambie kitu lakini waaapi!Plz help me......

Wanaume wengine hatupendagi kukurupuka!!! Wenda bado anafanya uchunguz wake!!! Sikushauri uumtokee...endelea kumtega na kuwa nae karib...kama kweli it meant to be one day atafunguka!!
 
Umeona wanaume wa Dar? Wadada tulishawaonya kua Dar hakuna mwanaume ni waoga zaidi ya Mbweha, bila shaka anatokea mitaa ile panya Road walipita! Anyway mwambia mana ndo hvo walvyo waoga sana!

Yaleyale ya panya kufanya gwaride kwenye ghala tupu wakati paka yupo machinjioni.....

Nani kasema mtoa mada yuko Dar? Kama unapenda sana kuja Dar karibu, ila kushambulia watu wa Dar wakati kumbe huna ujanja wa kuja Dar.... huo ndo unaitwa wivu wa kike.

Ukiondoa panya road... Ikulu, wizara ya fedha, serikali, mabalozi na kila kitu ukijuacho wewe nchi hii kiko Dar.

Baki na taarabu zako za Dar hakuna wanaume wakati wenzio ndo wanaiongoza nchi.
 
shikamoo Mtakatifu ODM.....
 
Uwe Unajaribu Hata Kumkumbatia Pindi Muonanapo,penda Kushikana Mikono Mnapokuwa Wote Hii Itamsaidia Kumchanganya Zaidi Na Atakuwa Mwepesi Kujibu Mapigo Yako Sawa Dada
ANGALIZO:BAHATI HAIJI MARA MBILI
 
Asalam aleykum wana-Jf!Mimi ni mwanamke wa 29yrs old.Kuna kijana wa 33 nina mazoea nae kwa 6months now miaka.Ananionyesha dalili zote za kunipenda na kunihitaji ila hajawah nitamkia til now.Ni mtulivu na namuona ndio atakayenifaa 4 life.Hisia zangu ni kwmb atakuwa ananiogopa na kujifeel inferior kwangu kwn nimemzidi kielimu na uchumi kadhalika.Nimtokee mimi manake nimemuwekea mazingira ya kujishusha ili kumtoa uwoga na pia kujiweka huru ili aniambie kitu lakini waaapi!Plz help me......

Heading ya post inapoanzishwa kwa maneno ya Kihuni inakosa mvuto wa wachangiaji hata kama ina ujumbe "Nahic =Nahisi,"jPunguzeni uzembe katika uandishi.hdjdjdkddjdj
 
Back
Top Bottom