Nahis mpenzi wangu ananifanya nikose michepuko

clefting

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
222
Reaction score
393
Polen na majukumu ya kulijenga taifa kuelekea uchumi wa viwanda
Nirejee kwenye maada mm nina mpenzi wangu tunaishi mikoa tofauti tangu niwe nae kwenye relationship tuna miaka miwili na yeye huwa ananijali sana japo mm sio kivile na kuonana inaweza kuwa mara nne kwa mwaka sasa tatizo linakuja pale mm nikiwa natafuta kamchepuko cha kujituliza wanakuwa wanaruka ruka sana mpaka nikawa nahis huyu demu ananitia nuksi kinachonifanya niamin ivo ni kwamba huyu demu ni mtu wakusali sana na kila kitu ni mambo ya kimungu tuu kitu kidogo tuu nitakuombea kwa mungu au tuwe tunamshirikisha mungu kwenye mahusiano yetu ayalinde sasa mm sio mdau wa hayo mambo sana japokuwa huwa nahudhuria kanisani jumapili
N.B hadi kugegeda alikuwa ananinyima nilivyotishia kumwacha ndo akalegeza masharti
Nilikuwa na mawazo ya kuachana nae maana mapenzi ya mbali yamenishinda ila naogopa sana kumuumiza moyo wake ananijali sana in short ni wife material
 
Nadhan uvumilie tu kama umepata mtu sahihi vile kwa akili zangu
 
yaani mnakutana mara nne kwa mwaka,,,,
tehteh hapo hakuna mpenzi wala mapenzi
unaibiwa pole sana mkuu.....
 
Mwambie unamwacha kwa kuwa anakuombea ukose mchepuko atakuombea upande utakuwa umeshinda au sio mkuu
 
Mi huwa naona atleast mtu yupo mbali na anakupenda na humpi chochote upendo ni kila kitu
 
Oa huyo mtu mapema with no delay.

You'll thank me later
 
Huwezi kutambua thamani ya mtu hadi umpoteze?
Wahenga walisema ukiwa msituni hautauona Msitu, utaona miti tuu,

Mpoteze huyo halafu umpate atakayechepuka ukiwa kazini au ukiwa mbali uanze kulalamika et wanawake wa sikuhizi hawatulii.
 
Unajifanya humpendi unataka kuachana naye lakini tukikwambia tuma namba hutaki!
 
Wala usilaumu ..kinachokimaliza wewe ni upendo kwa uyo mpenzi wako na pia ideology inayo jengeka kichwani kwa nini ni msaliti

So hakuna cha sala wala nini ni upendo so fanya kuoa kabisa
 
Ngoja nianze kukuchezea faulo za mbali nikimsumbua kutaka kumuoa nikiwa kama mpenzi wake wa zamani ili uone thamani yake kabla wajanja hawajakunyang'anya
 
Back
Top Bottom