Nahama, nauza vitu vya ndani

nsasa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
312
Reaction score
416


Friji brand BEKO linafanya kazi vizuri ....lina sehem ya friji na freezer
Being 450k






Kiitanda cha mninga 6*6 godoro nchi 8 kwa laki 350K



Kabat la nguo [HASHTAG]#mchina[/HASHTAG] lina marekebisho kidogo laki140

Napatikana Dar es salaaam
Wa mkoani ukinunua unatumiwa kwa garama zako

Serious customer check me
0674843289
 
Ulipaswa useme upo wapi kwanza ya yote
 
Uko wapi,fridge sh ngapi
 
Zamani kujaza makorokoro ndani ilikuwa ni sifa lakini siku hizi ni tofauti kabisa..
 
niuzie mtungi wa gas
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…