Nafuu vunja bei electronics

Mwezi mtukufuu huu jamn muwe na hofu ya Mungu ata kidogo

Mtoa mada me nalitaka nakuja pm
 
Hawa Nippotec bidhaa zao huwa ni nzuri sana, tatizo bei
 
Rubii na Stanley endeleeni na mambo yenu yanachangamsha huu uzi

Teh teh tehhh....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
biashara matangazo bwana, watu tumeganda kwenye huu uzi kama tuna nia ya kununua vile
kumbe hata kupishana lugha ni matangazo pia
 
Msamehe mkuu
Nishampotezea Mkuu. Unajua lengo kangu ilikua ni kumsaidia kua hayo makitu yanauzwa bei ndogo tu kkoo. Sasa naona anapanic.
Unajua hawa singo mothers wanaojifanyaga wajasiriamali wanakuga na hasira sana.
Yani wanalazimisha biashara.
Nimemwambia ilo rice cooker nilimunua elfu 30 kkoo bado anabisha kama tulikua naye vile.
Anataka nimuoneshe risiti..
mm sidaigi risiti mana bado sijaona umuhimu wa kulipa kodi.
 
Ndiyo wameingia Dar juzi hao
 
we mhaya Nshonzi ndo unaamusha mambo ambayo yameishaisha au unakaa gongolamboto nini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…