January songo
Member
- May 26, 2017
- 96
- 100
Watanzania bhanaAweke bei wakati IPO ni million ,2,550,000/..jamani acheni uvivu

Ipo hapo mbonaWeka bei!
2550000Bei gani?
Ahsante kwa masahihishoAweke bei wakati IPO ni million ,2,550,000/..jamani acheni uvivu
Zipo 520000 inategemea unataka nyingi kwa jumla hio bei ya lejalejamkuu nch 32 samsung na lg unazo?tsh ngapi?
Miaka 2Warrant ya muda gan?!
2250000 warrant miaka 2Bei ngapi?
Mode of payment?2250000 warrant miaka 2
It depends on where u'reMode of payment?
I'm in mbeyaIt depends on where u're
Remote inamaajab mzee sio kama remote za kawaida inavyofanya kaziUnaposema "magic remote control" ndo inakuwaje mkuu!