boazmwitira
Member
- Jun 11, 2022
- 47
- 71
nenda msikitini utayapata meng tuu majikoHabar Wakuu
Natafuta Sehemu ya Kukodi Jiko la Kitimoto Maeneo ya Dar liwepo kwenye mazingira Rafiki kwa biashara ya Kitimoto
Kwa Mawasiliano 0656080608 OR 0622516506
Jukwaa lipi Hilo mkuukuna mtu alipost humu anakodisha jiko la kitimoto.
Afande, acha dharau basi. Mwenzako anaomba msaada unaleta utani. Piga pushup 10 hapo haraka afande.nenda msikitini utayapata meng tuu majiko
LaanakhumOoohh tumsalie mtume, takibiriii
Ndo linakuwaje Hilo jikoHabar Wakuu
Natafuta Sehemu ya Kukodi Jiko la Kitimoto Maeneo ya Dar liwepo kwenye mazingira Rafiki kwa biashara ya Kitimoto
Kwa Mawasiliano 0656080608 OR 0622516506
Mkuu ikipatikana Sinza, mbezi, mikocheni, makumbusho, mwenge, tegeta, na Sehemu zenye ushawishiDar kubwa sana. Target yako ni eneo gani?!
Namanisha ofisi ya kuuza Nyama ya Kitimoto