Nafurahia Sana Makapi kuondoka CHADEMA.

Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia:
Dr. Silaa out ~ Lowassa in
Kafulila out ~ Nyarandu in
Agenda kuu Ufisadi
Badala ya kukaa na kufurahia huo mpukutiko ni vyema wajitathmini na wajipange upya kama kweli wana nia ya kukijenga chama
 
Nafurahia mateso yangu.[emoji445]utakapokamilika mwili huu[emoji443][emoji444]nitapata mwingine kwa baba....naimba tu jamani.
 
Pia tunafurahi CHADEMA kuwa kichaka cha mafisadi.
Sawa ni kichaka cha mafisadi. kumbuka kuwa kule wanakotoka ni msitu maana wako wengi bado. inashangaza sana kutoka msituni kwwnda kujificha kichakani!!!!!!
 
Alaaah, kweli? Na makapi kuingia je, mbona hulalamiki? Mlimpokea fisadi Lowassa, maelfu unaowaita makapi wakatoka. Leo kaingizwa Fisadi Nyalandu, makapi wengine wametoka. Kipi cha ajabu? Wewe ndiyo kapi.
 
Harakati za mfa Maji hizi..na Bado.. mtabakiza historia ya cuf na tlp..mnadhani umaarufu wa chadema ulikuja wenyewe..maana kabla yake walikuwepo wengine..tatizo mmebweteka na umaarufu..mmeshindwa kusoma nyakati..kibaya zaidi mmeshindwa kujifunza kwa waliopita
 
Mtoa mada inaonyesha wakati unaandika hii nyuzi ulikuwa unalia
 
mnafiki ni wewe unaendai hupendi siasa wakati roho inakuuuma kuona watu wanasepa kwenye genge la chagadema mnabaki kupiga porojo, mbona husemi ujio wa nyalandu mzee wa vitaru umefurahi/umechukia?
 
Ukiangalia kwa makini wote wanao haman ni walio dandia treni kwa mbele
 
Politicians and celebrities are the same. Manipulators set them up as toy soldiers and the public hail them as heroes. When they are used up, they are knocked down by the same people who set them up.
These guys are toy soldiers whose day is done.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…