kazi ipo...zote hizi ni element za kimaskini.Acha uzushi,unajifanya hujui siasa ilihali unafanya siasa?kama kweli hujui kama unafanya siasa basi ndiyomaana huwezi hata kutambua makapi yanatoka.wapi na yanaenda wapi,hivi mamvi ulimwitaje alipokuwa cc.....m?fredwaa,na huyo nyal ...je?mimi sina shaka chama chako ndicho kinasubiri makombo ya cc...m
Hongeraa.binafsi, chadema napendezwa na watu wachache sana...
Nikiwa kama mtu wa kawaida, nisiyependa Siasa...
Nimejikuta nafurahia sana watu wasiokuwa na msimamo, waoga na wanafiki wakiondoka CDM.
Nawaona hivyo as hakuna hata anayeshtuka kuondoka kwa wanaoondoka.
Nawaona kama makapi ndani ya chadema.
Natamani makapi mengine yazidi kupukutika.
Hongereni Chadema.
Ushindi wenu unakuja.
Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia:Nikiwa kama mtu wa kawaida, nisiyependa Siasa...