wankuru nyankuru JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 495 Reaction score 775 Jun 9, 2023 #1 Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli. Mimi ni Mtanganyika.
Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli. Mimi ni Mtanganyika.
Emar JF-Expert Member Joined Nov 15, 2018 Posts 1,786 Reaction score 3,093 Jun 9, 2023 #2 Kwa pamoja tuseme sisi ni watanganyika, Arusha,mbeya ,singida ,mwanza ,rukwa kotekote tuseme sisi ni watanganyika #Kataa Muungano, ni utapeli
Kwa pamoja tuseme sisi ni watanganyika, Arusha,mbeya ,singida ,mwanza ,rukwa kotekote tuseme sisi ni watanganyika #Kataa Muungano, ni utapeli
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,626 Reaction score 34,111 Jun 9, 2023 #3 Imejaa wezi ,wanafiki , wadhulumati na wajinga sijivunii Utanganyika .
Northpal JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 335 Reaction score 297 Jun 9, 2023 #4 wankuru nyankuru said: Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli. Mimi ni Mtanganyika. Click to expand... Kwa kiingereza unaitwaje vile?
wankuru nyankuru said: Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli. Mimi ni Mtanganyika. Click to expand... Kwa kiingereza unaitwaje vile?
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,875 Jun 9, 2023 #5 Tuanze na magari badala ya kuwa TZ yawe TK
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 10, 2023 #6 nsa ji said: Kwa kiingereza unaitwaje vile? Click to expand... Tanganyikan
Frank Hood JF-Expert Member Joined Oct 15, 2021 Posts 598 Reaction score 1,383 Jun 10, 2023 #7 Kuna mtu kijana anadai aliitwa mpemba...alilaani had Tanzania yote ikajua....sijui kwanini hakupenda kuitwa hivyo ilihali yeye ni mpemba.
Kuna mtu kijana anadai aliitwa mpemba...alilaani had Tanzania yote ikajua....sijui kwanini hakupenda kuitwa hivyo ilihali yeye ni mpemba.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Jun 10, 2023 #8 Hilo jina lilifutwa rasmi na Nyerere nivizuri hii Generation mmeamua kulifufua
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 9,468 Reaction score 8,276 Jun 10, 2023 #9 wankuru nyankuru said: Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli. Mimi ni Mtanganyika. Click to expand... Ukiniita mtanganyika ujue "blaza" imeitafuta SHARI.....
wankuru nyankuru said: Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli. Mimi ni Mtanganyika. Click to expand... Ukiniita mtanganyika ujue "blaza" imeitafuta SHARI.....
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 9,468 Reaction score 8,276 Jun 10, 2023 #10 Emar said: Kwa pamoja tuseme sisi ni watanganyika, Arusha,mbeya ,singida ,mwanza ,rukwa kotekote tuseme sisi ni watanganyika #Kataa Muungano, ni utapeli Click to expand... Nje ya Muungano kuna haya :- 1)Ugaidi wa kidini 2)Ugaidi wa kikomunisti 3)Siasa za kidini 4) Siasa za kihafidhina zenye busubusu na UKABILA NA UKANDA UDUMU MUUNGANO WETU
Emar said: Kwa pamoja tuseme sisi ni watanganyika, Arusha,mbeya ,singida ,mwanza ,rukwa kotekote tuseme sisi ni watanganyika #Kataa Muungano, ni utapeli Click to expand... Nje ya Muungano kuna haya :- 1)Ugaidi wa kidini 2)Ugaidi wa kikomunisti 3)Siasa za kidini 4) Siasa za kihafidhina zenye busubusu na UKABILA NA UKANDA UDUMU MUUNGANO WETU
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 Feb 2, 2024 #12 wankuru nyankuru said: Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli. Mimi ni Mtanganyika. Click to expand... Hongera sana! Wewe ni Mzalendo wa kweli.
wankuru nyankuru said: Nikisikia mtu ananiita Mtanganyika najisikia safiii sana na moyo unajaa uzalendo wa kweli. Mimi ni Mtanganyika. Click to expand... Hongera sana! Wewe ni Mzalendo wa kweli.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 Feb 2, 2024 #13 TONY MTAKAYOTE said: Click to expand... "Haki za Watanganyika ziheshimiwe. Historia na urithi wa Watanganyika ulindwe"📌🔨
TONY MTAKAYOTE said: Click to expand... "Haki za Watanganyika ziheshimiwe. Historia na urithi wa Watanganyika ulindwe"📌🔨
mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,710 Reaction score 7,219 Feb 2, 2024 #14 Wote hamna akili mnaongozwa na ushabiki, Tanganyika ipi unayoijua wewe ukasema wewe ni mtanganyika? Unakuta umri wenu ni 28- 35
Wote hamna akili mnaongozwa na ushabiki, Tanganyika ipi unayoijua wewe ukasema wewe ni mtanganyika? Unakuta umri wenu ni 28- 35