Nafungua iphone zenye passcode lock na kuondoa icloud

S/he can update iOS to remove passcode Agreed, but to remove it from Find my Phone Impossible.
Apple id icloud na find my phone is one package

Umetumia iPhone vizuri kweli.........kwanza find my phone ni option ambayo wengi wanasahau kuweka
 
Tena kwa elf 40 yule jamaa hapana
Yule wa 40 ni tapeli bhana, wadogo zangu maisha ya short cut mabaya. Mm siji bro hata bure, na hata kama utanipa laki na kunifanyia hiyo huduma. Nasema SITAKI, USANII MTUPU
 
unatoa zipi mkuu, maana umesema sio zote
kwa uelewa wangu mdogo kuanzia iPhone 4s kurudi nyuma inawezekana
 
 
Hakuna kinachoshindikana kwenye chini ya jua watu wanatoa na kuwa kama mpya
 
Kuifungua kweli haiwezekani lakini kuiondoa ni kitu rahisi sana
 
nadhan nmekulewa sana
 
Mleta uzi bado uko uraiani. nina iphone 7 yenye icloud.
 
Polisi anzeni Na huyu anayeshirikiana Na mijizi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…