Nafungua iphone zenye passcode lock na kuondoa icloud

Mkuu kwenye teknolojia kila jambo linawezekana. Sipingani na jamaa moja kwa moja kutokana na wenzetu walio mbele walivyowekeza kwenye issue ya security.

Uzuri jamaa ameweka namba yake kama una hiyo simu mpelekee.
 

inaweza biashara nzuri sana za kurejesha iphone za watu zilizoibiwa..
 
Ahsante sana kwa jibu maridhawa natumaini harudi tena mtu kuongelea FBI hapa kaka umepiga mtu ngumi ya jicho.
 
Icloud zinatoka lakini ni gharama kubwa wacheki gsmhosting kuna sub forum mule wanatoa icloud kuanzia dola 100 na kuendelea. Lakini ni kwa simu halali sio za wizi.
 
Nafaham mtu kama wewe pale posta
Wanakulamba hella ya kukuletea information afu baadae wanakwambia wameshindwa na masababu kibao
Inshort ni matapeli tu
 
Don nisaidie tablet yangu nikipiga inaandika cellular network not available tatizo ni nini?
 
leo nimepata gud editor ebu mwenye iphone hamtumie huyu jamaa tuone kinachoendelea
 
ukions hivyo uneibiwa cm ya iphone sasa umeamua kutangaza ili wajilete wenyewe
 
nlikua nacharge simu. Plug ikapiga short kwenye USB. Mpaka sasa simu haiwaki wala haioneshi chochote. Nafanyaje
 
nlikua nacharge simu. Plug ikapiga short kwenye USB. Mpaka sasa simu haiwaki wala haioneshi chochote. Nafanyaje
Hapo kwamwone fundi simu hiyo issue ya hardware kama unataka suggestion ya mafundi simu wanaodeal na iphone tu nutakutoa
 
Nafaham mtu kama wewe pale posta
Wanakulamba hella ya kukuletea information afu baadae wanakwambia wameshindwa na masababu kibao
Inshort ni matapeli tu
Haina noma baki nayo ipange kama remote zisizo na battery sebuleni
 
Nafaham mtu kama wewe pale posta
Wanakulamba hella ya kukuletea information afu baadae wanakwambia wameshindwa na masababu kibao
Inshort ni matapeli tu
Icloud unaweza kubypass ila siyo kwa simu zote za Iphone. Unapompa fundi a bypass Icloud hakikisha amebypass ndiyo umpe hela akishindwa usimpe hata shilingi.
Kubypass icloud siyo jambo la mchezo mchezo linahitaji akili ya ziada.
Baada ya kubypass Icloud, lazima u turn off tracking system zote km location na pia unadelete icloud hivyo inakuwa km mpya kwahiyo unaweza kuweka icloud account yako.
Mwenyew simu atakukamatia kwenye imei tu.
N.B
Usimpe hela yyte hata km ni 100 mpaka atoe icloud.
 

S/he can update iOS to remove passcode Agreed, but to remove it from Find my Phone Impossible.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…