DonCarlos100
Member
- Aug 22, 2016
- 40
- 18
Aisee... Yaani mtu ameokota Iphone!!nafungua iphones zenye passcode lock na kutoa icloud nasisitiza natoa icloud sio kufungua,na sio iphones zote zinaweza funguliwa especially ambazo zinalatest versions za IOS but whatever lete simu yako niishughulikie bei maelewano

nikiishamalizana na iphone yako inakuwa mpya bila ownership ya mtu yeyote yule mpaka utakapo sign in na apple id so its safe hautaweza patikana hata kama utaleta uliyoiba au uliyookota

my number 0692747618
Pass code lock yawezekana ukawa unaweza kutoa, lakini issue ya iCloud hapana usiwadanganye na kuwaibia watu, kumbuka kitu pekee kinachofanya cm za i Phone kuwa ghali zaid ni security system yao....... unachozungumza ni sawa na mtu aseme leo nimegundua gradients solutions zitumikazo na kampuni ya cocacola impossible!!nafungua iphones zenye passcode lock na kutoa icloud nasisitiza natoa icloud sio kufungua,na sio iphones zote zinaweza funguliwa especially ambazo zinalatest versions za IOS but whatever lete simu yako niishughulikie bei maelewano

nikiishamalizana na iphone yako inakuwa mpya bila ownership ya mtu yeyote yule mpaka utakapo sign in na apple id so its safe hautaweza patikana hata kama utaleta uliyoiba au uliyookota

my number 0692747618
Kunya basinakunya humuhumu
kuna iPhone 6s ipo tu kama toy, hakuna mwenye kuweza ondoa iCloudPass code lock yawezekana ukawa unaweza kutoa, lakini issue ya iCloud hapana usiwadanganye na kuwaibia watu, kumbuka kitu pekee kinachofanya cm za i Phone kuwa ghali zaid ni security system yao....... unachozungumza ni sawa na mtu aseme leo nimegundua gradients solutions zitumikazo na kampuni ya cocacola impossible!!
kama nilivyosema sio kila IOS inakubali na sifungui icloud ninachokifanya ni sawa na factory reset ya Androids ingawa kwenye iphone data inarudi kwasababu hiyo reset inatumia PC yenye back ups zako sasa kabla data haijarudishwa naweka zinginePass code lock yawezekana ukawa unaweza kutoa, lakini issue ya iCloud hapana usiwadanganye na kuwaibia watu, kumbuka kitu pekee kinachofanya cm za i Phone kuwa ghali zaid ni security system yao....... unachozungumza ni sawa na mtu aseme leo nimegundua gradients solutions zitumikazo na kampuni ya cocacola impossible!!
comment yako haipo openHapana wewe ni muongo
We ni mwizi tu, na unashauri wezi wasiache. Watu kama wewe ni kukutumia radi tu
Tatizo la watu weusi hufikiri sawa na ngozi zao. FBI walitaka ruhusa kutoka kwa apple na pia kutopoteza data km calls, sms, photos etc.kama nilivyosema sio kila IOS inakubali na sifungui icloud ninachokifanya ni sawa na factory reset ya Androids ingawa kwenye iphone data inarudi kwasababu hiyo reset inatumia PC yenye back ups zako sasa kabla data haijarudishwa naweka zingine
FBI wameshindwa kufungua icloud sio kuiondoa wao wanataka wafungue waangalie text calls na info zote ambapo ni lazima wafungue kama vile mwenye nayo
Mkuu wala usibishane na ngozi nyeusi sbb wao wanachoweza zaidi ni kubisha pasipo utafiti ndiyo maana Africa maendeleo hakuna. Ww tafuta wateja basi. Waache wabishe sbb kubisha kwao haizuii kutobypass Icloud.comment yako haipo open
uliza kinachofanyika kama unajua kinachofanyika kuzirekebisha hizo simu
Tena kwa elf 40 yule jamaa hapanaWizi tu uyu yupo kma yule w kupatan anaweka chanel z dstv kweny startimes