Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Pole sana kijana. POLE MNOOOOOO!Hatimae yametimia mda si mrefu nitafunga pingu za maisha na mwanamke wa ndoto zangu
Karibuni sana ndugu zangu na marafiki zangu
Itakua tarehe 27/8/2017
Dar es salaam
Naomba mungu anisimamie niweze kulitimiza jambo hili kwa uwezo wake pia aendelee kuilinda ndoa yangu
Karibuni sana
Hii harusi inafanyika kibiti madukani ? Vp utahudhuria ama tusichafue kadi tuuNitumie kadi ya reception inbox ninaahidi nitatinga. Hongera sana mkuu.
Umepigwa limbwata wewe na utakomaa sana[emoji13] [emoji13]Hatimae yametimia mda si mrefu nitafunga pingu za maisha na mwanamke wa ndoto zangu
Karibuni sana ndugu zangu na marafiki zangu
Itakua tarehe 27/8/2017
Dar es salaam
Naomba mungu anisimamie niweze kulitimiza jambo hili kwa uwezo wake pia aendelee kuilinda ndoa yangu
Karibuni sana
Ukiwa unaitamani aina fulani ya toleo jipya la simu, shauku yako haikomi kuifikiria na jinsi ya kuipata, ukishaipata baada ya wiki 2 tu unaanza kujiuliza hivi nilikuwanakosa usingizi kisa nini? Mbona simu yenyewe yakawaida sana?Hatuna mtoto