cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 162
Turn your knowledge into entrepreneurship.Kwa anaehitaji kujua hesabu za namna ya kupata size ya
Panel
Battery
Charge conltroller
Inverter
Cables
Vyote hivyo nafundisha kwa kiwango cha juu kabisa kwani ninauzoefu mkubwa katika kufunga mitambo mikubwa ya solar na kampuni ya Schneider electric ya ufaransa.
Pia kwa anaehitaji program niloitengeneza mwenyewe kwaajili ya kufanya solar pv system sizing ninayo nakufundisha na namna ya kuitumia pia kwa gharama nafuu
apk na excelTurn your knowledge into entrepreneurship.
Good broo.
Iyo program ni ya Android (apk) wandows (exe) au ipo kwenye excel
Sekta nzuri hii Mkuu anza uzalishaji ningekuwa wewe duuuh ila kama tatizo mtaji tushauriane kitu
Yes mkuu matatizo makubwa kwenye mifumo mingi ya solar kwa sasa hayatokani na ubovu wa vifaa vya solar bali ni kwamba mtumiaji anataka kutumia zaidi ya kinachozalishwa na system yake ya solar mwisho wa siku anajikuta hapati kile anachotarajia.Changamoto watu hawapendi hesabu wanajuwa wao ni kuona taa ikiwaka tv ikionyesha taarifa ya habari simu zikuwa na charge!!
Yes mkuu matatizo makubwa kwenye mifumo mingi ya solar kwa sasa hayatokani na ubovu wa vifaa vya solar bali ni kwamba mtumiaji anataka kutumia zaidi ya kinachozalishwa na system yake ya solar mwisho wa siku anajikuta hapati kile anachotarajia.
So step ya kwanza kabisa unapofikiria kufunga mfumo wa solar nyumbani kwako ni kufanya load analysis ya vifaa vyako vyote utakavyovitumia. Hapa ukikosea uka under size system yako itakusababishia pia kukosa umeme wakati mwingine, pia uki over size system yako utakuwa unazalisha kiasi ambacho hukitumii so utakua umepata hasara ya pesa kununua vitu vya zaidi ya unachotumia labda tungekuwa na mfumo wa net metering ingekusaidia maana hiyo power ya ziada ungeirudisha back to the grid and u get paid for that ila kwasasa hatuna huo mfumo kwa Tz so utakuwa unapoteza kiasi kikubwa cha power.
Changamoto kubwa kwa watumiaji wengi wa solar unakuta anaenda mwenyewe dukani ananunua lets say 60Wp panel halafu ndio anamuita fundi aje kufunga, sasa unachojiuliza huyu mteja amejuaje kuwa mahitaji yake ni panel ya 60Wp??
Et subwoofer ya solarHicho kitu asilimia kubwa hawafanyi kutokana na uchumi anakuta mteja anakuja kwako akiwa na wazo la kuwa na solar yenye uwezo wa kuwasha taa 4 tuu baadae anasahau ukubwa wa solar aliyokuwa nayo kwenye pitapita zake anakutana na subwoofer ya solar
Hujawai ona jaribu kwenda sehem ambazo umeme hujafika huone!!Et subwoofer ya solar
Hujawai ona jaribu kwenda sehem ambazo umeme hujafika huone!!